Mr. Plasduce Mkeli Mbossa
Director General
Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.

Eng. Juma Kijavara
Deputy Director-General
Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.

Mr. Miraji S. Kipande
Director of Finance and Accounts
Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.

Mr. Mbarikiwa Y. Masinga
Director of Human Resource Management & Administration
Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.

Dr. Jumanne Rashid Fhika
Director of Security Services
Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.

Mr. Stanslaus Kagisa
Director of Legal Services
Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.

Mr. Karl Wilfred Kalivuba
Ag. Director of Internal Audit
Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.

Mr. Isaack Godson
Director of Procurement and Contracts Management
Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.

Mr. Abdulatif A. Minhajj
Director of ICT Services
Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.

Dr. Baraka R. Mdima
Director of Engineering Services
Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.

Dr. Boniphace Nobeji
Director of Corporate Planning, Quality and Risk Management
Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.

Dr. George S. Fasha
Director of Marketing and Public Relations
Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.

Capt. Abdullah Mwingamno
Director of Marine & Ports Operations(Harbour Master)
Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.

Mr. Erasto Ndunguru
Director of Infrastructure, Planning & Investment
Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.

Mr. Abed Gallus Abed
Port Director Dar es Salaam Port
pddsm@ports.go.tz

Dr. Lufunyo Hussein
Principal Bandari College
Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.

Mr. Masoud Mrisha
Port Manager - Tanga Port
Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.

Mr. Ferdinand S. Nyathi
Port Manager - Mtwara Port
Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.

Adv. Erasto J. Lugenge
Port Manager - Lake Victoria Ports
Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.

Mr. Edward S. Mabula
Ag. Port Manager - Lake Tanganyika Ports
Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.

Mr. Manga Gassaya
Port Manager, Lake Nyasa Ports
Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.

Mwenyekiti wa Bodi
Balozi & IGP(Mstaafu). Ernest J. Mangu

Mjumbe wa Bodi
Bi. Ruth H. Zaipuna

Makamu Mwenyekiti wa Bodi
Dkt. Ellinami J. Minja

Mjumbe wa Bodi
Mhandisi Abdallah O. Mwinyi

Mjumbe wa Bodi
Bw. Masanja K. Kadogosa

Mjumbe wa Bodi
Dkt. Jabir K. Bakari

Katibu wa Bodi
Bw. Plasduce M. Mbossa
Kufanyakazi na TPA
Bandari za Tanzania zinapirikapirika ambapo takribani watu 3,000 kila siku hufanya shughuli mbalimbali. Utekelezaji wa mradi mbalimbali kama vile ujenzi wa gati jipya (ro-ro) chini ya mradi wa lango la kuingizia meli Dar es Salaam (DMGP), gati jipya Bandari ya Mtwara, kituo kipya cha bomba la mafuta eneo la Chongoleani chini ya mradi wa bomoba la mafuta kuanzia Uganda (Hoima) mpaka Tanga (Chongoleani) na ujenzi wa bandari mpya ya pangani itaanzisha ajira nyingi mpya miaka ijayo.
Bandari za TPA zinatoa fursa nyingi. Iwapo unataka kufanyakazi za tenknolojia, fedha na mawasiliano, nahodha wa majini au katika logistiki, bandari za TPA zimejaa fursa nyingi na mbalimbali kwa ajili yako:Wadau wengi wa bandari katika jumuiya ya Bandarini kama vile mawakala wa upokeaji na usafirishaji shehena, kampuni za meli na wasafirishaji nao pia huajiri wafanyakazi kupitia kampuni za ajira au mchakato wa kuajiri waliokazini. Zifuatazo ni baadhi ya ajira unazoweza kuomba iwapo unataka kufanyakazi katika mazingira ya bandari siku zijazo:
- Ubaharia
- Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
- Ulinzi
- Ukaguzi
- Fedha
- Mawasiliano ya Kampuni
- Usimamizi wa kodi
- Umeme
- Ujenzi
- Wakaguzi wa Meli
- Ufundi Mitambo
- Moto na Usalama
- Haidrografiki
- Utabibu
- Rasilimali watu
- Sheria
- Bima
- Masoko
- Usimamizi/Utawala wa Biashara
- Uwakala wa Forodha
Utampa nyaraka zako meli wakala wa upokeaji na usafirishaji aliyesajiliwa kuziwasilisha mamlaka ya Bandari na mamlaka ya mapato Tanzania.
Bandari kuu ya Dar es salaam ya TPA inatoa taarifa za kawaida kuhusu bandari zote. Ndiyo tunapokea wanafunzi wanapofanya mazoezi au kazi za ugani kwa makubaliano maalumu bila ya gharama yoyote kwa TPA. Kutokana na ukweli kwamba bandari zetu ni maeneo nyeti na tunapokea maombi mengi na ratiba za kazi nyingi bahati mbaya mamlaka ya bandari haiwezi kukubali maombi yote kutoka kwa wanafunzi wote wa chuo kikuu.
Tanzania (TPA) haihusiki moja kuwa na shughuli hiyo. Tunakushauri uwasiliane moja kwa moja na tra au kampuni za meli za kontena.
Tafadhali tembelea tovuti za TRA zilizomo humu ambako utaona/kutumia kikotoo cha kodi. Bofya, kutembelea
Tunatoa huduma za kupokea/kuwasilisha shehena ndani ya saa 24/siku 7 kwa wiki. 1 Jina la meli au namba ya safari 2. Namba ya hati ya mizigo melini (uiongizaji) au nmba ya uwekaji nafasi (usafirishaji) 3. Namba ya kasha na alama za utambulisho na idadi ya vitu vitakavyochukuliwa 4. Ombi la kuwasilisha au dereva wa kuwasilisha hati ya mizigo melini.
Taarifa za meli zinapatikana kwenye orodha ya meli