Bw. Plasduce Mkeli Mbossa
Mkurugenzi Mkuu
Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.

Mhandisi Juma S. Kijavara
Naibu Mkurugenzi Mkuu
Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.

Bw. Miraji S. Kipande
Mkurugenzi wa Fedha na Uhasibu
Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.

Bw. Mbarikiwa Y. Masinga
Mkurugenzi wa Rasilimali Watu na Utawala
Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.

Dkt. Jumanne Rashid Fhika
Mkurugenzi wa Huduma za Usalama.
Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.

Bw. Stanslaus Kagisa
Mkurugenzi wa Huduma za sheria
Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.

Bw. Karl Wilfred Kalivuba
Kaimu Mkurugenzi wa Ukaguzi wa Ndani
Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.

Bw. Isaack Godson
Mkurugenzi wa Ununuzi na Usimamizi wa Mkitaba
Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.

Bw. Abdulatif A. Minhajj
Mkurugenzi wa Huduma za Tehama
Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.

Dkt. Baraka R. Mdima
Mkurugenzi wa Huduma za Uhandisi
Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.

Dkt. Boniphace Nobeji
Mkurugenzi wa Mipango, Ubora na Vihatarishi
Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.

Dkt. George S. Fasha
Mkurugenzi wa Masoko na Uhusiano
Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.

Capt. Abdullah Mwingamno
Mkurugenzi wa Shughuli za Majini na Huduma za Meli
Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.

Bw. Erasto Ndunguru
Mkurugenzi wa Miundombinu,Mipango na Uwekezaji
Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.

Bw. Abed Gallus Abed
Kaimu Mkurugenzi wa Bandari
pddsm@ports.go.tz

Dkt. Lufunyo Hussein
Mkuu wa Chuo cha Bandari
Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.

Bw. Masoud Mrisha
Meneja Bandari - Bandari ya Tanga
Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.

Bw. Ferdinand S. Nyathi
Meneja Bandari - Bandari ya Mtwara
Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.

Wakili Erasto J. Lugenge
Meneja Bandari - Bandari ya Ziwa Victoria
Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.

Bw. Edward S. Mabula
Kaimu Meneja Bandari - Bandari ya Ziwa Tanganyika
Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.

Bw. Manga Gassaya
Meneja Bandari - Bandari ya Ziwa Nyasa
Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.

Chairperson - TPA Board of Directors
Amb & IGP(Rtd). Ernest J. Mangu

Board Member
Ms. Ruth H. Zaipuna

Vice Chairperson - TPA Board of Directors
Dr. Ellinami J. Minja

Board Member
Eng. Abdallah O. Mwinyi

Board Member
Mr. Masanja K. Kadogosa

Board Member
Dr. Jabir K. Bakari

Board Secretary
Mr. Plasduce M. Mbossa
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) ilianzishwa kwa Sheria ya Bandari Na.17 ya 2004 kusimamia shughuli zote za kibandari nchini. Mamlaka hii inaendesha bandari zinazohudumia Tanzania na nchi zisizo na bandari ikiwemo Zambia, Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Burundi, Rwanda, Malawi, Uganda na Zimbabwe.
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) inatekeleza jukumu la kuhamasisha matumizi ya bandari, kuziendeleza na kuzisimamia ikiwamo, kuingia mikataba ya kisheria ya kukasimu mamlaka yake kupitia utoaji ruksa za uendeshaji wa huduma za bandari kwa kufuata kanuni na mamlaka iliyonayo kwa mujibu wa sheria.
TPA inasimamia na kuendesha mifumo ya kibandari katika bandari zilizo mwambao wa Bahari ya Hindi na kwenye maziwa makuu ya Victoria, Tanganyika na Nyasa. Dar es Salaam, Tanga na Mtwara ndio bandari kubwa huku bandari ndogo zikiwa Kilwa, Lindi, Mafia, Pangani na Bagamoyo katika mwambao wa Bahari ya Hindi.
Kazi za Mamlaka
- Kuanzisha na kusimamia mifumo ya bandari.
- Kutengeneza miundombinu ya bandari na kutoa huduma.
- Kujenga bandari mpya na kuziendesha baada ya kuruhusiwa na Waziri.
- Kujenga, kuendesha na kuhudumia minara, maboya na visaidizi vingine vya kuongozea meli kuingia na kutoka bandarini.
- Kuendesha shughuli za kupakia na kupakua shehena.
- Kutunza shehena mbalimbali za wateja wakati zikiwa katika mikono ya bandari.
- Kushuhudumia shehena kwa niaba ya watu wengine mahali popote kuwe ndani au nje ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
- Kwa ruhusa ya waziri mwenye mamlaka TPA watasafirisha shehena ya mizigo au abiria.